Bahati who was formerly contesting for Mathare Constituency has finaly came back with a new song titled, Mambo Ya Mhesh.
SOME LYRICS
Kanavyojikunywesha bia (beer) kanavyonitingishia na hakajavaa sindilia (lia) haka sitakaachilia
Ulivyokata hiyo (eey) wanipandisha joto to ulivyopinda mgongo wanipandisha joto to
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Coz I’m gonna do what you did to me, you’re so beautiful good to me
Bssi serereka kula hepi yote on me you’re so beautiful good to me
Mambo ya mhesh mhesh mhesh Mambo ya mhesh toto weka kando nakubless bless bless kama mhesh
Nikurotate nikupokeee nikubebe kama dolly kisha nikutongozee we mtamu kama kachori
Hilo tabasamu umbo lako you’re just enough for me
0 Comments